Dawa hii ya meno imetokana na mchanganyiko wa mimea tisa,alovera,proporis na asali wa nyuki wadogo na kufanya kuwa dawa Bora inayoweza kutibu vitu vifuatavyo, ~kung'alisha meno. ~Kuua vijidudu katika meno. ~kutibu mafua. ~kutibu Bawasili. ~Hukata gesi tumboni. ~Husaidia Kupata choo. ~Hutibu fangasi ya koo. ~Huondoa chunusi,na vipele usoni. ~Hutibu Matangotango.