Click to show phone number
Tunakuja na timu ya kisasa, nadhifu na yenye nidhamu ya hali ya juu kwa ajili ya kuhakikisha event yako inaenda kwa mpangilio wa kiwango cha juu
Tunatoa huduma za:
✔️ Mapokezi ya wageni (VIP & Regular)
✔️ Usimamizi wa ratiba ya event
✔️ Uongozaji na mpangilio wa shughuli
✔️ Professional ushers & protocol services
Iwe ni Harusi, Graduation, Corporate Event au Sherehe yoyote — timu yetu ipo tayari kukuhudumia kwa ubora wa kipekee!
Wasiliana nasi leo kwa booking
Tunakupa heshima ya event yako iwe ya ki-class zaidi!